Usikate tamaa ya kwa kitu chochote

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Mungu ni mkuu bwana, kwenye maisha usikate tamaa.

Baada ya miezi kazaa kukaa bila mpenzi mwanaume bila mwanamke hawezi, tusidanganyane, ila ni kwa wale tu ambao wako imara, siyo wanaume wapiga nyeto wale wana wapenzi wao tayari.

2021 - 2022 ilikuwa nuksi kwangu, kila mwanamke niliyekuwa natongoza alikuwa anakataa mpaka nikawa nafikiria labda ni nuksi, siyo bure. Nilikata zangu tamaa ya kuwa na mpenzi kabisa. Nikaona sina bahati acha ni jaribu nyeto na mimi.

Ona sasa Mungu alivyo wa ajabu, ilikuwa mwezi wa 4 kipindi natoka zangu job nimechoka kinoma niko ndani ya bus, si nikakutana na sister mmoja mrembo kinoma, mtu wa Ivory Coast huko.

Nilikuwa naingia ndani ya bus nikaona anatabasamu baada ya kuniona, mimi nikafikiri labda kuna mtu yupo nyuma yangu huko. Nikaenda kukaa karibu naye pale tukaanza kuongea kama kawaida. Mwisho nikajaribu kumuomba namba ya simu akanipa bila tatizo lolote. Nikaona mmm, mbona hivi jamani?

Baada ya siku kadhaa siku moja akanitumia sms kuwa ananipenda, nilishangaa nikawa najiuliza huu mtego au kuna kitu huyu sister anataka kutoka kwangu, mbona haraka haraka hivi. Nikapotezea, kwanza nikawa kama sioni sms zake, akaendelea kutuma sms.

Siku moja nikamwambia nataka tukutane kwangu, akajibu hakuna tatizo. Tulikutana, nikapiga mambo yangu. Baada ya hapo ikawa sasa kawaida yangu kuchukuwa point 3 na niko tayari kumuoa kabisa.

Sasa tatizo linakuja wapi, familia hawataki mimi kuoa mwanamke ambaye siyo wa kabila langu! Kwahiyo wananipiga vita kinoma kuhusu huyu mrembo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kumbe ulikuwa unatongoza wazungu ndo maana walikuwa wanazingua siyo Kwamba ulikuwa na mkosi ni Kwamba wazungu Kwa mwafrika mpaka yeye akupende lakin ww kujipeleka ni kazi
 
Ivi jamani mtu ambaye haumtegemei kimaisha anaweza kukupangia MTU wa kuowa kweli na je unaeza kukubali kwel kama mtu unampenda kweli
 
Yaan Mimi kama mwanamke nimempenda kweli naeza kukubali kutengana na wazazi Kwa ajili yake hata wakisema kwenye msiba wao nisiende siendi
 
Ivi jamani mtu ambaye haumtegemei kimaisha anaweza kukupangia MTU wa kuowa kweli na je unaeza kukubali kwel kama mtu unampenda kweli
Si ndo hapo bwana wazazi wetu wa Kiafrika wao wanashikilia lile andiko mzazi ni Mungu wako wa pili kwa hiyo kila jambo utakalo lifanya mpaka wao kwanza walipitishe ndo ulifanye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ndo hapo bwana wazazi wetu wa Kiafrika wao wanashikilia lile andiko mzazi ni Mungu wako wa pili kwa hiyo kila jambo utakalo lifanya mpaka wao kwanza walipitishe ndo ulifanye

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna andiko la ivo najua andiko linalosema mwanaume atawacha wazazi wake na mwanamke naye atawaacha wazazi wake na ataambatana na mumewe nao watakuwa miwili mmoja
 
Yaan Mimi kama mwanamke nimempenda kweli naeza kukubali kutengana na wazazi Kwa ajili yake hata wakisema kwenye msiba wao nisiende siendi
Limbwata Hilo mkuu shitukaaaaaa
 
We kumbe ulikuwa unatongoza wazungu ndo maana walikuwa wanazingua siyo Kwamba ulikuwa na mkosi ni Kwamba wazungu Kwa mwafrika mpaka yeye akupende lakin ww kujipeleka ni kazi
Au ana sura nzito
 
Sasa tatizo linakuja wapi, familia hawataki mimi kuoa mwanamke ambaye siyo wa kabila langu! Kwahiyo wananipiga vita kinoma kuhusu huyu mrembo.
Mpe mimba huyo mwanamke familia yako italegea tu
 
Si ndo hapo bwana wazazi wetu wa Kiafrika wao wanashikilia lile andiko mzazi ni Mungu wako wa pili kwa hiyo kila jambo utakalo lifanya mpaka wao kwanza walipitishe ndo ulifanye

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa mtoto wa Mama au umri wako bado, ukiwa mtoto wa Mama kujinasua ni ngumu sana, utakuta jitu zima mindevu USO mzima lakini kila kitu mpaka afikishe kwa Mama yake na ndiyo hao ndoa zao hazidumu maana hawana akili yakuamua jambo,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…