Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,410
- 289,563
Picha: mwenye shati la blue ni Mwl Kasim Majaliwa alipokuwa kwenye majukumu yake enzi hizo akifundisha , sasa hivi Mwl huyu ni Waziri Mkuu wa Tanzania
Eeee bhana eeeee !!!Saa hii anawaangamiza walimu Kwa kuwanyima haki zao za madaraja,madai, ongezeko la mishahara n.k.
Mungu shuka
si wote wavumiliao hula mbivu !Mvumilivu hula mbivu
Zile risasi alizomiminiwa Lisu ni sehemu ya uvumilivu ?Mvumilivu hula mbivu
bila shakaZile risasi alizomiminiwa Lisu ni sehemu ya uvumilivu ?