Usikate Tamaa kuna Mtu anakutegemea

kama umeniandikia mimi kila kitu kimesimama kazi imepotea na, ndugu, marafiki na familia wamepotea sioni feature yoyote nipo km sipo sehemu pekee nilipobakiwa nako ni humu jf ..GOD help me.
Mpwa, we all have our good and bad times! Mwezi kama huu miaka miwili iliyopita nilimpoteza Mama yangu kipenzi, nilihisi dunia imesimama! nilishindwa lakini nikutie moyo, simama!

Kama hutojali tunaweza kuongea hapa au hata inbox. Tusaidiane mawazo, tutaine moyo, leo ni kwako, kesho ni kwangu, nani aijuaye kesho yake??

kama umeniandikia mimi kila kitu kimesimama kazi imepotea na, ndugu, marafiki na familia wamepotea sioni feature yoyote nipo km sipo sehemu pekee nilipobakiwa nako ni humu jf ..GOD help me.

Haupo peke yako mkuu....
Ni katika point kama hiyo katika maisha ndipo unajua kuwa watu wengi wapo interested na kitu unachoweza kuwafanyia na si wewe kama wewe

Watu wanakuona kama object ya kuitumia, kama sehemu ya kuvuna .. not a human at all

Katika point kama hiyo utajua kuwa utakuwa na umuhimu kwa watu lakini si kila muda na wala hakuna atakaeyastopisha maisha yake kwa ajili yako bila kutegemea kitu in return.. not even your family

hivyo, kujifunza kuweka interest zako mbele is a must na sio option maana hakuna atakaekuthamini kuliko interest zake.. sometimes not even your mother

Ni katika hii time ya kujua nguvu yako halisi ya kustahimili na kuinuka.. so long as yo still breathing, you have a chance to get anything which falls within your capacity, never give up na Mungu akupe wepesi mkuu
 
Naam, kweli tupu, kila mtu ana nguvu fulani ndani yake.
 
Ukiishi nchi za Wazungu utajiona worthless sababu ya ubaguzi. Hupati kazi ya maana licha ya kuwa na elimu ya juu uliosomea hukohuko. Siku zote utajiona wewe ni mtu wa chini kabisa katika jamii, sababu self-image yako imekuwa duni
 
Pole sana, wewe ni mshindi! Watajiokeza na mimi nikisikia mahali nitakuita, ukiwa Dar jaribu kucheki na Mkuu Mshana Jr kama atakua na sehemu ya vibarua pale ukafanye kwa muda.
 
Pole sana, wewe ni mshindi! Watajiokeza na mimi nikisikia mahali nitakuita, ukiwa Dar jaribu kucheki na Mkuu Mshana Jr kama atakua na sehemu ya vibarua pale ukafanye kwa muda.
Niko mwanza mkuu nitajitahidi niwasiliane nae shukrani!!
 
kama umeniandikia mimi kila kitu kimesimama kazi imepotea na, ndugu, marafiki na familia wamepotea sioni feature yoyote nipo km sipo sehemu pekee nilipobakiwa nako ni humu jf ..GOD help me.
Na mimi nikiwa jirani yako. Naamini hata hili litapita japo mbele giza na kibaya zaidi hata nyuma nilikotoka sikuoni tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…