Unauza bei gani? Upo wapi?Nimeyatimba [emoji28][emoji23][emoji23] nimechukua ac ya hisence btu18000 tena ya Dual inverter Aloo ac ni kama V8 anytime lazima umeme uwe full namaanisha ac ni jini la umeme sio mchezo
Kwa siku inaweza Kula umeme hata wa sh 5000[emoji23][emoji23][emoji23] yani inaweza Meza unit 15 per day
Chumba kuwa na matobo hakuongezi units za umeme, Bali zinapunguza uharaka wa kupoza eneo!Au chumba kina matobo?
Hiyo AC ni mpya mkuu auYani hata sielewi chumba kina vioo cha kisasa
Mkuu bora umenichana mapema, nilikuwa nafikiria kipindi cha kiangazi kikianza nikanunue AC Dual inverter kulikabili joto linalokuwa huku ninapoishi, kumbe nitakuwa nimejiroga. Ipi nafuu sasa?Nimeyatimba [emoji28][emoji23][emoji23] nimechukua ac ya hisence btu18000 tena ya Dual inverter Aloo ac ni kama V8 anytime lazima umeme uwe full namaanisha ac ni jini la umeme sio mchezo
Kwa siku inaweza Kula umeme hata wa sh 5000[emoji23][emoji23][emoji23] yani inaweza Meza unit 15 per day
hizi hakuna kitu, achana nazoAlafu nimesikia kuna mobile AC's yaani ukitaka kuihamishia sitting room au bed room zipo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mbona kuna mambo sio ya kulalamika humu asee. Kuna tatizo sehemu
AC za sasa hivi zinazima automatic na kujiwasha muda fulani joto uliloset likiwa limefikiwa ni kama fridge tuu sema mimi nawaamini sana LG/Sumsung huko kwingine mimi ni mgeni kidogo...wasingeweka kwenye Lodge hizi kama gharama ni hiyo mkuu fanya waje wataqlamu wakurekebishie..Mpya ndio sema walifunga tablizer kwa nyuma nahisi ndio inanyonya umeme nashangaa sana