Tehtehteh.....naomba basi buku mkuu ili nisimwombe mwanamke wangu.nashangaa mno navyomwona kaka angu anavyofurahia na kujitamba analelewa.Mwanaume wa ukweli hawezi muomba mwanamke wake pesa .Wanaume acheni hiyo tabia
Anza na Kaka yako kwanza!
Hivi nyie wanawake wa siku hizi huu upumbafu mnaunua wapi?!?!?nashangaa mno navyomwona kaka angu anavyofurahia na kujitamba analelewa.Mwanaume wa ukweli hawezi muomba mwanamke wake pesa .Wanaume acheni hiyo tabia
Hapo ndipo wanawake wengi wanapokosea, maisha ni kusaidiana, wala siyo kusaidia upande mmoja tu wa mwanamke.nashangaa mno navyomwona kaka angu anavyofurahia na kujitamba analelewa.Mwanaume wa ukweli hawezi muomba mwanamke wake pesa .Wanaume acheni hiyo tabia
nashangaa mno navyomwona kaka angu anavyofurahia na kujitamba analelewa.Mwanaume wa ukweli hawezi muomba mwanamke wake pesa .Wanaume acheni hiyo tabia
Hivi nyie wanawake wa siku hizi huu upumbafu mnaunua wapi?!?!?
Kaka yako choko, mpeleke kwa mabaharia wa Magomeni wakamzibue mtaronashangaa mno navyomwona kaka angu anavyofurahia na kujitamba analelewa.Mwanaume wa ukweli hawezi muomba mwanamke wake pesa .Wanaume acheni hiyo tabia
Mawazo ya kijima (primitive) sana haya. Kama mnapendana mtasaidiana kila mtu kwa nafasi yake. Wewe unadhani kuwa mwanamume ndio kuwa na utawala wa pesa au kipato? Wasiwasi wangu, mleta mada hii ndio kwanza anabalehe. Hivyo anadhani kuwa mwanamume basi yeye ni kila kitu. Kua uyaone.nashangaa mno navyomwona kaka angu anavyofurahia na kujitamba analelewa.Mwanaume wa ukweli hawezi muomba mwanamke wake pesa .Wanaume acheni hiyo tabia
Unamaanisha kunweteka...usiombe tena na tena mkuu?Kusaidiana kupo mtu anapokwama ila sasa usibweteke
Kaka yako choko, mpeleke kwa mabaharia wa Magomeni wakamzibue mtaro
Watu mpaka kodi zinatolewaa...!! Kama wewe una demu hana kazi yoyote katika umri wa kiaka 25+ ni ufalaa wakooo... Kuwa na demu ambae siku ukitingwa hawezi kukusaidia hata 10k ni ufalaa..