[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji115]Huyu shemela wangu sio wakumpa pole aiseee.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Naskia eti.... Yendo fundi jf nzima...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu....[emoji3] [emoji3] kinyozi hajinyoi
Kumbe tupo wengi tunaji-kufa na tai kwa shongo.....[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nshamalizana naye/nao najua yupo/wapo hapa watakuwa wanasoma huu uzi
Abyereeeeee.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Ndio kunakuchwa huku najiandaa kugona
ha ha! kuna mimtu haijui maana ya neno siri wanahitaji somo..Tunatofautiana tabia hulka mitazamo na maono...kuna watu ambao ni INTROVERT(Wasiri) na EXTROVERT(wafingukaji)hawa hawakai na jambo rohoni huwa hawarembi
Nikwambie kitu rafiki funguka kwa mtu unayemwamini baada ya kujidhihirisha kuwa anaaminika...usijifunie kwa public ambayo huifahamu ambayo itakusoma lakini wewe huwezi kuisoma
Tupo kwenye mtandao huru lakini tuwe makini na watu tunaowasiliana nao
YAMENIKUTA but I was smart and I managed it..
Take it from me si kila mmoja ni mwema kwako[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji35] [emoji35] [emoji35]
ngoja nkaichekiiMkuu...
PM yangu umeiona.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweliiiWanajiongelesha tu akili zao tumezishika sisi
Tunatofautiana tabia hulka mitazamo na maono...kuna watu ambao ni INTROVERT(Wasiri) na EXTROVERT(wafingukaji)hawa hawakai na jambo rohoni huwa hawarembi
Nikwambie kitu rafiki funguka kwa mtu unayemwamini baada ya kujidhihirisha kuwa anaaminika...usijifunie kwa public ambayo huifahamu ambayo itakusoma lakini wewe huwezi kuisoma
Tupo kwenye mtandao huru lakini tuwe makini na watu tunaowasiliana nao
YAMENIKUTA but I was smart and I managed it..
Take it from me si kila mmoja ni mwema kwako[emoji15] [emoji15] [emoji15]
ππππyaani mi nikipatwa na tatizo siwezi kukaa nalo....
Kama hivi kuna mtoto ananisumbua humu jf, yaani hata nikikutana na mtu barabarani namsimamisha kuanza kumwelezea kinachonisibu