Kwa hiyo mkuu umefunuliwa!!pole sana mtani wanguTunatofautiana tabia hulka mitazamo na maono...kuna watu ambao ni INTROVERT(Wasiri) na EXTROVERT(wafingukaji)hawa hawakai na jambo rohoni huwa hawarembi
Nikwambie kitu rafiki funguka kwa mtu unayemwamini baada ya kujidhihirisha kuwa anaaminika...usijifunie kwa public ambayo huifahamu ambayo itakusoma lakini wewe huwezi kuisoma
Tupo kwenye mtandao huru lakini tuwe makini na watu tunaowasiliana nao
YAMENIKUTA but I was smart and I managed it..
Take it from me si kila mmoja ni mwema kwako[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Pole sana kaka....Tunatofautiana tabia hulka mitazamo na maono...kuna watu ambao ni INTROVERT(Wasiri) na EXTROVERT(wafingukaji)hawa hawakai na jambo rohoni huwa hawarembi
Nikwambie kitu rafiki funguka kwa mtu unayemwamini baada ya kujidhihirisha kuwa anaaminika...usijifunie kwa public ambayo huifahamu ambayo itakusoma lakini wewe huwezi kuisoma
Tupo kwenye mtandao huru lakini tuwe makini na watu tunaowasiliana nao
YAMENIKUTA but I was smart and I managed it..
Take it from me si kila mmoja ni mwema kwako[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ni sawa mkuu, in psychological point of view ua an Introvert.Daah umenifungua mimi ni INTROVERT........
Moja kati ya sign kubwa napenda kushinda ndani siku nzima na kupendelea sehemu zisizokua na misongamano ya watu endapo nitatoka nje
Maneno yako hayataki tochi tunayasoma kila siku hapa😛😀😀Mimi kukaa na neno wala siwezi siku yakinikuta ntakabiliana nayo
Niyamini[emoji22]pole mshana, sio kila mtu ni wa kumuamini ata hawa tunaokutana nao ni kuwa nao makini tu.
Ha haa sio mzima weweyaani mi nikipatwa na tatizo siwezi kukaa nalo....
Kama hivi kuna mtoto ananisumbua humu jf, yaani hata nikikutana na mtu barabarani namsimamisha kuanza kumwelezea kinachonisibu
hapana mukongo sikuaminiNiyamini[emoji22]
[emoji24] [emoji24] [emoji24]hapana mukongo sikuamini
Si umroge tu
Ana hazina kubwa sana ya uchawi nashangaa anashindwa kuitumia humuKwani huyu jamaa ni mchawi eeh?