Usijifunue....!

Yani kumbe Mshana Jr nakuogopaga bure tu, wewe na mikoba yako unashindwa kumgeuza mtu nyumbu kisha ukamfukuzia serengeti akaliwe na simba huko!! Au kama ni wakiume mbadike papuchi dasta tuanze kushughulikanae.
 
Mimi ni Introvert ila sijajua kama kuwa hivi ni tatizo,kwani kuna wakati huwa mpaka najichukia kwanini niko hivyo,huwa ni mara chache sana kukuta ninamuamini mtu.
Niko hivyo pia lkn kidogo nabadilika saiv najifunza kuzungumza introvert inatesa unatawaliwa na chuki hasira visasi na unakuwa km umefungiwa kwenye kishimo kidogoo huamini mtu aiseee pole sana hali hiyo ikatae wewe mwenyewe heri extrovert kuliko introvert
 

MASIKINI Mshana!!! Demiss amekufanya nini tena? Mbona hata NDOA bado?
 
Yani kumbe Mshana Jr nakuogopaga bure tu, wewe na mikoba yako unashindwa kumgeuza mtu nyumbu kisha ukamfukuzia serengeti akaliwe na simba huko!! Au kama ni wakiume mbadike papuchi dasta tuanze kushughulikanae.
Naweza kufanya hata zaidi ya hayo lakini sitaki kwakuwa kesho ipo na nina hofu ya Mungu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…