Kweli kabisa. Dogo akapime afya yake .Its not normalDogo afya yako mbovu sana
Kama umeshindwa kupiga gem katika hali kama hiyo
Mwaka 2004 niliwahi kutokula mchana na usiku na mupenzi wangu wa nyakati hizo alikuja na nilimudu kupiga bao 5 na asubuhi nilisikia ka njaa ka kishikaji tu,hii ni kweli wala sio masikhara maana unaweza kudhani nafurahisha genge
Masuala haya yanategemea sana uimara wa afya yako
Kuna wengine hata wale namna gani wanaishia bao moja au mbili na biashara inaishia hapo,wengine hata wasipokula wenyewe pafomansi iko palepale tu
Hilo lililokutokea kuna wengine linawatokea huku wakiwa walikula na kushiba kabisa
Kilichokufanya hivyo ni udhaifu wa afya yako na sio kingine japokuwa chakula kinahusika kwa asilimia chache sana!
mbona nilivyokula nimepiga mzigo
Dogo afya yako mbovu sana
Kama umeshindwa kupiga gem katika hali kama hiyo
Mwaka 2004 niliwahi kutokula mchana na usiku na mupenzi wangu wa nyakati hizo alikuja na nilimudu kupiga bao 5 na asubuhi nilisikia ka njia ka kisha tu,hii ni kweli wala sio masikhara maana unaweza kudhani nafurahisha genge
Masuala haya yanategemea sana uimara wa afya yako
Kuna wengine hata wale namna gani wanaishia bao moja au mbili na biashara inaishia hapo,wengine hata wasipokula wenyewe pafomansi iko palepale tu
Hilo lililokutokea kuna wengine linawatokea huku wakiwa walikula na kushiba kabisa
Kilichokufanya hivyo ni udhaifu wa afya yako na sio kingine japokuwa chakula kinahusika kwa asilimia chache sana!
Ha ha haaa pole mkuu,ulifikiri hiyo ni laptop,utakuja kufa shukuru hujanya..,alikua amevaa mavazi ya anti-museven ha haaa🙂mwambie hako katabia m7 hakapendi.
hahhahaahahahaha, sasa mlimtafuta baada ya kuamka or ndo ikawa ntoleengumu kumesa!
qudadeki mm nilishalala masaa manne bila kujitambua!!
nilidhani nimekufa..! aisee usifanye hio ishu huku ukiwa na njaa!
kustuka nakuta mtoto wa watu hayupo... keshavaa vyake kasepa kwao! lolz!