kaka we oa umri co ktu sana labda km angekuwa bonge lakin so long as co bonge oa tu, kuzeeka walkuwa wanazeeka fasta mama zetu waliokuwa wanafanya kazi nying za kulima
sasa hivi hakuna tatizo ila baadaye lazima kitaeleweka tu wanawake ni vinyonga sana wala usimsifie kwa sasa maana anatafuta akishakuweka kapuni inakula kwako
Kumuoa hakuna tatizo ingawa kwa heshima na maadili yetu ya kiafrika, unatakiwa uwe unakumbuka kumpa "shikamoo" yake kila asubuhi maana ni dada yako mkubwa.
umr wako ndio sabab kubwa kwake kukuzmia na nina amin kaz ya ndan unajtuma vzr kwan ndio mtaj pekee ulionao kaz huna!!!now she has 35,ukpata mtoto now wkt yy ana 60 mwanao ana 25!Ongea na baba/mama yako as if imemtokea rafk au jamaa uliyewahi soma naye na utapata ushaur bora zaid!