Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,478
- 64,790
Kujifariji ni kujipa majibu ya uongo;cha muhimu ni kukubali matokeo tu,na kuangalia namna ya kusonga mbele.
Ukishakumbuka kale ka video clip ka mange alichompostig le mutuzi baaasss relax hauko peke yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujifariji ni kujipa majibu ya uongo;cha muhimu ni kukubali matokeo tu,na kuangalia namna ya kusonga mbele.
Umenisaidia kujibuSasa huko kukubali matokeo si ndio huambatana na kujifariji au mtu akubali matokeo huku akijidisapoint mwenyewe?
Pole sana Jamani.Achilia hisia , kubali matokeo mfano mm sasa nizae na nisizae vyote sawa tu na wala siumii tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivomaliza tu ndo umeniboa ARISE AND SHINE. Nkamkumbuka mzee wa mafuta ya upakoHellow wapendwa ,
Poleni na majukumu
Leo nimejisikia tu vyema kuandika hili jambo mana huenda kuna anayelia lia huko akidhani yuko peke yake /dunia imemtenga
Jibu ni HAPANA , amka , hauko peke yako wewe dada mwenye miaka 33 ambaye hauna mtoto
Hauko peke yako ww uliyeambiwa hauna uwezo wa kuzaa tena ,achilia akili na maneno ya kuambiwa amini tu hakuna mwanamke Mgumba na utazaa
Hauko peke yako ww uliyekwenye ndoa yenye mitihani mingi isomalizika ,unaogopa kumove on ati utaonekanaje , Inuka hapo ulipo wengine pia tulishakimbia hivyo vifungo vyenye funguo ya kifo
Songa mbele
Hauko peke yako ww uliingia hasara kubwa na kuanguka kiuchumi wala usiogope kuanza kwenye chumba kimoja na kufanya biashara nyingine ndogo za kukuinua hapo ulipo amini nakwambia jipe muda na malengo utatoboa upya ,wanaokucheka hawatakusaidia hata buku la chai , hivyo hawakusaidii kitu kukamilisha ndoto yako
Hauko peke yako ww kaka ambaye umefukuzwa kazi na kukimbiwa na mpenzi wako , halikuwa fungu lako mshukuru Mungu anakupa aliye bora(vigezo vya traaaakko kubwa vinakuchelewesha)
Hauko peke yako ww mbunge uliyepatwa na aibu ya voice note! Watu wanamavideo na waliyakana live kwamba yameeditiwa
Hauko peke yako Zero Iq waz la biashara ya elfu 50 na watu wakakuona miyeyusho hata kitaani tunaonekana miyeyusho live ila ndo tunapambana tunatoboa
Hebu endeleeni na nyie kwenye comments
Huenda ukamfariji mmoja wapo
IRISE AND SHINE
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayuko peke yake pia hata makka watu wanakufa ,hata kwa naija walifunikwa na kanisa wakafaaUlivomaliza tu ndo umeniboa ARISE AND SHINE. Nkamkumbuka mzee wa mafuta ya upako
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole my dadaKila mmoja na alivyo mm nilivyoona uwezekana wa kuzaa ni mdogo sana niliumia mnoo
Walonizunguka wote wanawatt hivyo nikaingia kwenye social media nikaunda na grup la wahanga tu ,aisee ni wengi sana na shuhuda zile nikajikuta napiga kifua na kusema yangu madogo na kuipokea hyo hali na sasa hivi hata unisimange na kunitukana nacheka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji23][emoji23]nimecheka sana mkuu!!Nimejikuta nikipiga kifua na kujisemea "Mimi kenzy mwenye Kibamia sipo peke yangu"[emoji12][emoji23][emoji23]