Usihofie wachaga

bonge la nyimbo, ingia mkito.com udownload
 
Nyimbo nyingine zinaashiria stereotype na ukabila.

Mkuu ushausikiliza tayari??ila kwa kuangalia title ya wimbo, binafsi sidhani kama maudhui yake yatakuwa ni kukashfu/kukandia kabila fulani
 
Mkuu ushausikiliza tayari??ila kwa kuangalia title ya wimbo, binafsi sidhani kama maudhui yake yatakuwa ni kukashfu/kukandia kabila fulani

Naomba uweke lyrics hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…