Usigeuke nyuma wala Kuaga

Usigeuke nyuma wala Kuaga

Stori tu! Hakuna cha majini wala nini!

Siku moja nitafanya utafiti wa vitendo niende kwa mganga nikamdhihaki nijue kama ana lolote la kunifanya!

Hakuna kitu! 100%
hahahahaha yaani unadhamiria kufanya hivo, utuletee mrejesho
 
Kama alikwambia ulete mbuzi au kuku
Hapo ata tumia nafasi hio kukwambia usigeuke nyuma usije ona jinsi anavo beba kitoweo kupeleka kwake
hahahahah ukiagizwa hivo ujue anahamu ya kuku siku hiyo, mbona hawaagizagi mchicha..?
 
Ninamjua mtu alikuwa na maradhi ya Pumu aliwahi kwenda kwa mganga na kutibiwa,ila sharti alilopewa ni kutokugeuka nyuma wakati anaondoka,mpaka atakapoingia kwake na mpaka hivi ninavyoongea amepona kabisa....
 
Imani ni bora kuliko Dini
 
Mmh haya ni mapya kwangu... Nijuavyo mimi mengine ni masharti tu ya mganga ya kutishana yasiyo beba uhalisia wowote
Ukigeuka nyuma mana yake .. '' warungura'' yaani umekaanga uchawi!! kwa lugha rahisi umeunguza!! kazi yako imekuwa batili! ni sawa na kurudi kwa mganga upya!!

kweli inakupasa uanze upya
 
E
Stori tu! Hakuna cha majini wala nini!

Siku moja nitafanya utafiti wa vitendo niende kwa mganga nikamdhihaki nijue kama ana lolote la kunifanya!

Hakuna kitu! 100%
ee!!!bwana ee usithubutu!! utapigwa na majini mpaka ukome!! weee jaribu tu kwa munguwa kabili yuko hapo dsm
 
Back
Top Bottom