Tanzania kuna mtu mwenye akili?
Au kuna watu wenye uwezo wa kutafuta X na kusolve Physics
Una akili halafu unanunua mabehewa used kwa 3billions
Una akili tena umemaliza UDSM unasifia ujinga na wengi ni Machawa wa CCM, wamejaa twita
Una akili halafu unaogopa kufukuzwa kazi