naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,989
- 5,510
Siku hizi ni hospital anafungwa kanga (lubega) siku tano ya sita anarudi kwenye nguo zake za kawaida kamaliza hakuna kufundwa wala kufunzwa, na wengine wanapelekwa kabla hajatoka 40 ya kuzaliwa ndio hawa wanaosumbua humuUnyagoni na jando haukwenda?