Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 126
- 186
Umiliki wa Kampuni unatakiwa kua very transparent, sababu una deal na serikali, una deal na Wafanyabiashara wenzio, una deal na wakopeshaji, una deal na wateja, na wafanyakazi pia.
Sasa Hii ni checklist ya mambo muhimu ya kuangalia kabla hujafungua Kampuni;
1. Malengo ya Kampuni
Inabidi ujue unafungua Kampuni kwa ajili ya Nini.
Inaweza kua kutoa huduma, kuuza bidhaa, kupata tender au contracts.
Hii itakusaidia sana kwenye usajili
2. Aina ya Kampuni
Hapa most of times inakua ni Private company limited by shares.
3. Jina la Kampuni
Hakikisha jina lako ni rahisi kukumbukwa, lakini pia lisiwe jina linalofanana na jina la Kampuni ingine, au else trademark ya mtu mwingine.
4. Wamiliki (shareholders) na wakurugenzi (directors)
Hakikisha mmekubaliana vizuri kwenye ownership, roles and responsibilities.
Hii itaepusha migogoro at least mapema.
5. Aina za leseni zitakazo hitajika
Tambua biashara yako inahitaji leseni zipi
- Business license
-sector/specific permit mf (TFDA, TCRA, TBS)
6. Address ya Kampuni
-Physical address
-Email & phone (fungueni mpya)
-Postal address
7. Bank account & signatories
Hakikisha una list signatories watakua wangapi na kina nani.
8. Resources
-Mtaji
-Skills/experience
9. Ushauri wa Sheria na Kodi
Tafuta wataalamu hapa.
I hope This helps.
Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara na Kampuni, kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa Kampuni na biashara unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi
0678131068
Your Favorite Lawyer.