Usifungue inaweza kukukera

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,255
Usimaind umefungua mwenyewe
 

Attachments

  • 1426240135782.jpg
    9.8 KB · Views: 2,096
Huu ndio ungese.. Umeona inakera unaiweka ya nn?
 
Onyo mmepewa lakini kwa vihere here vyenu mkafungua sasa mnanung'uka nini? Lambeni mzigo huo teh.
 
Ha ha ha.. Kipimo cha ubishi wa binadamu.. Kama vile Adam na Hawa walivyoambiwa wasile lile tunda na wakalila.. hapa napo mmeambiwa msifungue lakini kwa ubishi wenu mmefungua.. Mbaya zaidi mnajiona mna haki ya kumshambulia mleta post..!
 
Mi cjafungua mpaka sasa hivi, embu msamaria mwema aniambie kilichomo ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…