Aliyeandika hii thread anaitwa Emmy lady. Ni mfanyakazi kwenye ofisi ya serikali, na hajapata mshahara wa mwezi wa nne. Ana stress kubwa sana kwa sababu: Anadaiwa kodi ya nyumba ya miezi sita, shs350,000 za saluni, na kwao hajapeleka sh 100,000 za kukarabati paa la nyumbani kwa wazazi wake. Pole sana Emmy lady!