Usifungue hapa..

Usifungue hapa..

Emmy lady

Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
9
Reaction score
1
Mimi niliyefungua hapa, nina
1. Pua kama remote ya king'amuz cha startimes
2. Mimacho kama sidiria
3. Kichwa kama scania....
 
Mimi niliyefungua hapa, nina
1. Pua kama remote ya king'amuz cha startimes
2. Mimacho kama sidiria
3. Kichwa kama scania....
Aliyeandika hii thread anaitwa Emmy lady. Ni mfanyakazi kwenye ofisi ya serikali, na hajapata mshahara wa mwezi wa nne. Ana stress kubwa sana kwa sababu: Anadaiwa kodi ya nyumba ya miezi sita, shs350,000 za saluni, na kwao hajapeleka sh 100,000 za kukarabati paa la nyumbani kwa wazazi wake. Pole sana Emmy lady!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom