Usifufue makaburi ya mwenza wako endapo unajua kuwa huna moyo

Tafsiri ya maneno kufukua makaburi unaijua au na wewe ni mfuata upepo?
 
Haha nmekuanzishia siku yako kwa tabasamu murua
Na siende tena kunwa supu.
Napika chai mwenyewe sasa hivi kablsa sijaenda kazini.
Nikienda kula nje naona kama hao wamama wata spoil tabasam lako uliliniachia moyoni this morninh.
 
Kwaiyo hutaniuliza nani alinitoa bikra.....
Nmesahau bhan kumbe me bdo virgin
Bitu ambavyo mi sifanyi ni kuuluza ma ex wako.
Na kupekua simu yako.
Huo ni mwiko. Ila sim yangu nakuruhusu hata uende ukaoge nayo.
Na huwa si pritendi. Ndio maana nikamtambulisha relato ili ujue.
Ila ujue kama ulivyo bikra na mwenzako naye ni bikra.

Sasa jiulizeni mwanaume mashine . Mme wenu mashine kwa nani?
Tunzeni tu hioz naniliu zenu
 
Wewe hujielewi ila mwanamke wako hajielewi zaidi, unawezaje kusema wazi ulitoa mimba???!.
Wote wapo sahihi mno. Ukweli wa mapema ni mzuri kuliko ukweli wa kujulikana kitambo baada ya maafa kutokea.
Ukweli wa mapema unasaidia sana katika kufanya maamuzi sahihi.
 
Hata kama unao moyo,kuna mengine hayato kuridhi kuyasikia na unaweza ukaghairi hata kama ulikua na malengo na mwenzio manake utakua hakimu wewe,wakili wewe utaumiza kichwa chako bila sababu ya msingi...
 
Bitu ambavyo mi sifanyi ni kuuluza ma ex wako.
Na kupekua simu yako.
Huo ni mwiko. Ila sim yangu nakuruhusu hata uende ukaoge nayo.
Na huwa si pritendi. Ndio maana nikamtambulisha relato ili ujue.
Ila ujue kama ulivyo bikra na mwenzako naye ni bikra.

Sasa jiulizeni mwanaume mashine . Mme wenu mashine kwa nani?
Tunzeni tu hioz naniliu zenu
kwaiyo niko mm tu na relato? Au kama kawaida wadada wa kuflirt kwenye cm yako wako wengi si utaniua na presha kam tabia zako ndo hzhiz
 
Wewe hujielewi ila mwanamke wako hajielewi zaidi, unawezaje kusema wazi ulitoa mimba???!.
Wote wapo sahihi mno. Ukweli wa mapema ni mzuri kuliko ukweli wa kujulikana kitambo baada ya maafa kutokea.
Ukweli wa mapema unasaidia sana katika kufanya maamuzi sahihi.
 
nakumbuka kuna kadem kalikua kananisumbua kweli
baada ya kuachana na mpenz wangu niliekua namuelewa zile stress nikamtafuta mtt akajaa gheto kwa furaha baada ya kukagegeda akaanza kuforce nimpe story za X wangu
kwa nn tuliachana mara sijui kitu flan anafanyaje alivosepa tu na ndo tukapigana chin hapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom