Usifufue makaburi ya mwenza wako endapo unajua kuwa huna moyo

Hiyo ni past yake ambayo kimsingi haikuhusu kabisa coz kila mtu anayo past yake. Sikiliza story kisha songa naye mbele kama mambo mengine mpo sawa.
 
Chuki baina ya wapenzi huanzia hapa siku zote...hakuna mtu anaweza vumilia historia mbaya ya mwenza wake hata kidogo na ndio maana hata wazazi ukiwapelekea mkwe kumtambulisha na kuwaeleza ndiye unataka kumuoa swali kubwa na la kwanza kabisa huwa "umeshamsoma tabia yake vizuri na umeridhika nae?"
Binafsi sijawahi ridhika na historia za wapenzi wangu wooote niliowahi kuwa nao hata huyu mke wangu sijawahi ridhika na historia yake na kuna baadhi ya vitu aliwahi nihadithia nikivikumbuka tu huwa natamani kumtimua kabisa.
 
Huyo demu nae kiazi

Unaanzia wapi kumwambia mwanaume kuwa ulitoa mimba?

Kwanza ukiuliza ulikuwa na wenza wangapi nitakwambia wewe ni wa pili....
 
Hao ni watu wa matukio usithubutu, wana siri ambazo sisi wanaume tukizijua tunaweza kupoteza fahamu.
 
Ni kweli ila tambua nimuhimu sana kumsoma mtu kiundani kabla hujafikia maamuzi ya kuishi pamoja na moja ya vitu vitakavyo kufanya ubaini tabia za mtu wako ni pamoja na historia yake.kunatabia zingine hazibadilishiki.Mfn.. mruka na mrukwa ukuta.

Hivyo suala la kusahau halina mashiko.
Tehetehetehe sasa unategemea atakwambia kama alikua mruka ukuta??
 
Never let your past ruin your future...

Let go the past, deal with the future...

Like i don't ask my mahondaw about her past... Coz it wont help me...

Cc: mahondaw

Thanks love.. Vyenye nilivo na kamoyo kadogo Naanzaje kukuuliza past yako!! I even don't want to know it.


Me too Smart911 wangu your past nothing to do with me.. I just focus on what's important with me and you..



Mahondaw wa Smart911
 
Thanks love.. Vyenye nilivo na kamoyo kadogo Naanzaje kukuuliza past yako!! I even don't want to know it.


Me too Smart911 wangu your past nothing to do with me.. I just focus on what's important with me and you..



Mahondaw wa Smart911
Haiana haja ya kuangaika na past... Lets concentrate on the present and future...
 
Back
Top Bottom