Usife kibwege kama Ted Jorgensen

Angemlea angeishia kuwa muuza baiskeli ..
Mimi niwaze kivingine,tuangalie historia za mafanio ya matajiri wengine au watu wote mashuhuri duniani kwenye nyanja tofauti tofauti ,je walitelekezwa ndio wakafanikiwa kama huyu Jeff na Mond kwa bongo?
Kama kuna waliolekewa malezi mazuri na wakafanikiwa basi jibu ni kwamba malezi mazuri ndio humfikisha mtu kwenye mafanikio kwa msaada wa Mungu

Hawa ambao wamefanikiwa licha ya kutelekezwa ni mifano ya kutukumbusha kwamba tuwajali watu inavyostahili na kupaswa na tusipofanya hivyo Mungu atafanya yeye kwa namna yake na kuleta majuto kwa waliowatelekeza.

Maana bila Malezi mazuri ndio maana machokoraa wako wengi mtaani yaani hao walitelekezwa still walibahatika kupata malezi kutoka kwa wengine na wanaozagaa mitaa hawakubahatika

Jamani wanaume tusitelekeze wanetu no matter what na kuwaachia mzigo wanawake haijalushi umezaa na wanawake wangapi lea kadiri ya utakavyoweza atakayekusikia haya atakayekaidi shauri yake but tusiwe wa kulaumiwa na kunyoshewa kidole tunaweza kuwa na mwisho wa majuto
 
Jeff angelelewa na huyu Ted angekuwa muuza baskeli
 

kwa wazungu...TED mbaya
kwa waafrika.....MOND mbaya
waswahili wanasema kuwa uyaone
 
Na huyo mtoto angelelewa na baba yake asingekuwa Tajiri
 
Mashaka yangu ni kwamba bwana tajiri alipewa maono ya kiapo au kwamba aliambiwa siri ya utajiri ni kukaa mbali na mzee la sivyo atarudi umaskini maana kwa Hali ya kawaida kibinadamu angeweza kumsaidia japo kidogo
Sio mswahili huyo mkuu.

Aliona fursa akaitumia.

Kuhusu kumkataa baba yake ni misimamo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…