Usifanye kosa hili kwenye kuoa

Usifanye kosa hili kwenye kuoa

Ha ha ha ha Karucee.. Tena amepigwa kibuti cha ugoko kinamkereketa mpaka sasa hivi lol..

Usidhani ambacho kina-apply kwako basi na kwa mwingine ni vivyo hivyo.. Ukiondoa hiyo namba sita ambayo kidogo inaweza kuwa na logic zilizobaki zote ni N/A.. Vile vile mtoa uzi unatakiwa ukumbuke na wewe unaweza kuwa na tabia inayofanana na hizo ulizozitaja hapo..

Sema wewe ndugu yangu. Hapo ana machungu acha tu. Halafu dizaini demu alimzidi umri na alikuwa na mshiko.

Sasa akaendekeza umariooo akatemwa.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo namba 5 ndio huleta gubu kwenye mahusiano mapya..
 
1.Umepishana sana ki umri

2.Mitazamo tofauti kimaisha

3.Dini tofauti tofauti

4.Mwanamke aliyetokea ghetto si kwa wazazi

5.Ulidetiwa kwa muda mrefu mwisho wakaachana

6.Anapenda starehe zaidi ya kujenga familia

7.Ana asira na wivu kupita kiasi

8.1-7

Akinikuta kwangu je?..
yaani nishajenga.hilo nalo gheto au?
 
ya 4 SIJAKUFAHAMU vizurii...
Gheto kivipi? anajitegemea au ?

Na kama ni anajitegemea inamaana hata akiwa na miaka 25 kuendelea na anauwezo wa kujitegemea akae tuu kwa wazazi akila kwa shkamoo asisimamie maisha yake kisa kusubiri kuolewa?
umeuliza vizuri maana hata mm sijaelewa bado tchaa....
 
1.Umepishana sana ki umri

2.Mitazamo tofauti kimaisha

3.Dini tofauti tofauti

4.Mwanamke aliyetokea ghetto si kwa wazazi

5.Ulidetiwa kwa muda mrefu mwisho wakaachana

6.Anapenda starehe zaidi ya kujenga familia

7.Ana asira na wivu kupita kiasi

8.1-7
no.4... acha kutishia wanawake amani wewe... kuna watu they r too independent and million $ chicks..aaache kukaa kwake kisa kusubiri mwanamme wa kuoa... ebuuh tupishe.
 
Watu wengi hawajui uhalisia wa gheto na mazingira yake, chumba cha kimoja au double wanacho kaa walokole wawili au watano na kuendelea tena wanaosoma au wameajiriwa usiite gheto hilo ni pango la hifadhi, kunavyumba ukitoka kwenu ukaenda hapo hutakubaliana na ulimwengu uliopo.
 
1.Umepishana sana ki umri

2.Mitazamo tofauti kimaisha

3.Dini tofauti tofauti

4.Mwanamke aliyetokea ghetto si kwa wazazi

5.Ulidetiwa kwa muda mrefu mwisho wakaachana

6.Anapenda starehe zaidi ya kujenga familia

7.Ana asira na wivu kupita kiasi

8.1-7

Ana sifa tajwa hapo juu ila sio kicheche, ah mi naoa bwana...mbaya demu awe kicheche
 
ya 4 SIJAKUFAHAMU vizurii...
Gheto kivipi? anajitegemea au ?

Na kama ni anajitegemea inamaana hata akiwa na miaka 25 kuendelea na anauwezo wa kujitegemea akae tuu kwa wazazi akila kwa shkamoo asisimamie maisha yake kisa kusubiri kuolewa?

Eti ht km mtu amesoma na anafanya kazi Dar na wazazi wapo Bukoba inabidi aishi nao ili kuepuka kukaa getho, mleta maada umekurupuka
 
Kibuyu kishalia..


Imeandikwa


usimwache mwanamke mchawi aishi
 
Aisee yatasemwa mengi mwaka huu,mie langu jicho,malizieni mwaka huu ikianza january hatutaki hizi tafiti zisizo na kichwa wala miguu.
 
hiyo ya kutokea gheto umubugi broo.pipo wanatokea mkoa na kushukia ubalozini kwa uncle akiweza kujimudu lazim aamshe c unajua kukaa kwa ndugu ni changamoto
 
sasa huyo namba 8 ndo nilienae nitangaze ndoa au niache??
 
VP mwanamke injinia anaelala site siku 3 siku nyingine hadi 5 ,nitangaze ndoa?
 
Back
Top Bottom