Kwa hesabu za fasta umetemwa siku mbili hizi.
Wote ambao hawakutoka kwa wazazi wametoka geto? geto ni wapi?
Nyoooooo.......
kumbe wewe mkali wa hesabu
1.umepishana sana ki umri
2.mitazamo tofauti kimaisha
3.dini tofauti tofauti
4.mwanamke aliyetokea ghetto si kwa wazazi
5.ulidetiwa kwa muda mrefu mwisho wakaachana
6.anapenda starehe zaidi ya kujenga familia
7.ana asira na wivu kupita kiasi
8.1-7..
hiyo Nyoo ni namba ngapi ?!! You made my day!!Nyoooooo.......
Kwa hesabu za fasta umetemwa siku mbili hizi.