Hapana, nimeona familia wakipigwa vizazi kadhaa kwasababu ya hii issue. Ipo ambayo waliuza hadi makaburi wakahama mkoa kabisa. Kwasasa wamerudi Mwanza maeneo yale yale wanatafuta ardhi na kuongea na wale walionunua wahamishe makaburi. It's serious! Kuna makosa yakitokea
Mimi kuna familia wamenisimulia huu mkasa na makosa ya kuuza ardhi ya ukoo hadi makaburi alifanya baba yao na kaka zake. Sasa watoto wameungana kujaribu kuyanunua upya au jirani na pale. Hiyo familia imekuwa na vifo visivyoeleweka. Imechukua muda mrefu kujua source ya mparangsnyiko wa familia na ulianza na baba zao wote!
Kweli Nna ardhi ya kutosha home kijijini kule tatizo kuna mamdogo mwanga balaa.
Kanikosa mara kibao, ila mumewe
Bamdogo akaondoka.
Nikaona isiwe tabu niwaachie tu.
Kuna makaburi 7 hapo hayaendi popote