Jana nilikuwa Viwanja wilaya flani Dodoma sasa sikuwa na demu kwasababu Mimi siyo mkazi wa huku
Sasa Kuna Demu nikamuomba nidance nae akanitolea njee nanyodo juu
Kumbe pale club kulikuwa na Waturuki wamemuhonga tayari
Aisee Waturuki siyo watu wazuri wanatumia pesa Kama wanazitengeneza wao