Usidharau biashara ya mtandao/network marketing

wamatinga

Member
Jan 22, 2013
99
15
Vijana wengi nchini hawana kazi, au wana kipato cha chini. Cha kushangaza sana ni vile wanaidharau biashara ya mtandao/network marketing, ambayo inaheshimika duniani kote kwa kuongeza kipato na kutengeneza mamillionaires wengi sana kwa mtaji mdogo tu.
Biashara za mtandao ni nyingi tu, cha msingi ni kuielewa kampuni yako na bidhaa zako vizuri.
Cha pili kampuni yenyewe iwe halali. Kampuni za kimataifa ni nzuri zaidi kwa uimara wake.
Cha tatu uwe chini ya kiongozi mwenye uelewa. Kiongozi ni muhimu kwa sababu ndiye atakuelekeza. Ukiwa chini ya kiongozi aliyefaulu, uwezekano wako wa kufaulu uko juu kuliko ukiwa peke yako.
Kwa mengi zaidi kuhusu hii biashara, nitafute kwa namba +255713823702.
 
Back
Top Bottom