Yaani si ukiona moja linakujia maana wakiona una hela basi midiva misharo kwa harufu tu utafikiri ni fisi!!! Yaani akitokea angekoma kuzaliwa!! Ila utashangaa wanaume kwa wanawake na familia zao wanahangaikia hawa kupe!!!
Nazjaz naomba uheshimu makabila ya watu kwani wamasai tu ndio wapo naona kila ---- anakurupuka kutolea mfano eti ni sawa na kusema mmasai hatabaki uchi endapo nguo zake zikichukuliwa na upepo sema leo nipo kwenye mod ningeporomosha matuzi ya nguoni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.