Usideti na watu hawa, watakuumiza moyo

Usideti na watu hawa, watakuumiza moyo

nilichokielewa vizuri hapo ni "Mafupi kama charge ya Blackberry Bold" kweli haya makitu hayakai na charge kabisa!
 
Looh! kweli uzee tabu, sasa mjukuu wangu nitoholee hayo maneno DIVA na SHARO na uniambie jinsi yanavyoingia kwenye mioyo ya watu.
 
ndio nimegundua saa hizi kuwa expiry date ya huyu mchina wangu imefika
HAHAAHAHAHAHAAH KWELI HIYO NDIO ZILE ZITAKAZOZIMWA NA tcra hahahah eti bujibuji Ciello yuko wapi
 
Last edited by a moderator:
WAKE KWA WAUME

Ukitaka kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi,Mafupi kama charge ya Blackberry Bold,basi Date na DIVA au SHAROBARO!
HAWANA FUTURE HAO,No Hurry like Africa Attitude ndo jadi yao,HAWANA MIPANGO,NA HAWANA CHA KUPOTEZA.WEWE NDO UTAKUA WA KUPOTEZA KILA KITU,After you are done with them, Watakamata MJINGA MJINGA mwingine wa KUMPUKUTISHA na kumpotezea muda.KAAMBALI NA DIVAS,High Heels Inches 12 anatembea kama BATA ANAE TAKA KUKATA ROHO,hamfiki Popote...Bishoo Suruali MLEGEZO na kupaka PODA,SURA LIMEPAUKA KAMA GOTI LA MBUZI,hamfiki popote..

Ukiamini Diva ni Wife Material ni sawa na Kuamini Mmasai hatakaa Uchi upepo ukipuliza shuka lake!wake kwa waume now ni kuangaika na maisha ili FAMILI ZETU ZIISHI MAISHA BORA.NI AYO TU NA NIMEMALIZA​

Hapa Diva imetumika visivyo.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
ndio nimegundua saa hizi kuwa expiry date ya huyu mchina wangu imefika
kwi kwi kwi kwi! As usual umenipa tabasamu! Mna vituko we na nivea, mi nawaangalieni tu hapa!
 
Last edited by a moderator:
Hivi ukivaa high heels ushakuwa Diva?
Nataka nitupe vyangu vyote nisije kuwa Diva bure.

Tangu nianze kusoma post zako, sijawahi kuwa na uhakika wa jinsi yako, ila leo ndo nimegundua wewe ni ke!
 
Ukitaka kumjua Diva ni nani na Sharo ni nani very simple. Wewe angalia tembea zao tu. Wote hao wakitembea ni kama roli imekata centre bolt
 
Back
Top Bottom