Teknolojia ni Yetu sote JF-Expert Member Joined Apr 28, 2020 Posts 1,292 Reaction score 2,617 Monday at 9:31 PM #1 ๐ฅ Umeona watu wakisema ukibonyeza ##4636## unapata internet ya bure? โ Huo ni UONGO! #4636 ni Testing Menu ya Android inayokusaidia kuangalia taarifa za mtandao, signal, 4G/5G, Wi-Fi na matumizi ya simu. ๐ถ โ ๏ธ Haikupi MB za bure, haiondoi gharama za internet, wala haikuruhusu kutumia data bila kifurushi. Usibonyeze codes za mtandao bila kujua zinafanya niniโbaadhi ya mipangilio inaweza kuathiri network ya simu yako. ๐ ๐ฌ Ulikuwa unaamini hii code inatoa internet ya bure? ๐
๐ฅ Umeona watu wakisema ukibonyeza ##4636## unapata internet ya bure? โ Huo ni UONGO! #4636 ni Testing Menu ya Android inayokusaidia kuangalia taarifa za mtandao, signal, 4G/5G, Wi-Fi na matumizi ya simu. ๐ถ โ ๏ธ Haikupi MB za bure, haiondoi gharama za internet, wala haikuruhusu kutumia data bila kifurushi. Usibonyeze codes za mtandao bila kujua zinafanya niniโbaadhi ya mipangilio inaweza kuathiri network ya simu yako. ๐ ๐ฌ Ulikuwa unaamini hii code inatoa internet ya bure? ๐
jambo Dunia Member Joined Jun 6, 2026 Posts 80 Reaction score 189 Monday at 9:34 PM #2 Ndio kwanza naiona hapa mkuu
Teknolojia ni Yetu sote JF-Expert Member Joined Apr 28, 2020 Posts 1,292 Reaction score 2,617 Monday at 9:45 PM Thread starter #3 jambo Dunia said: Ndio kwanza naiona hapa mkuu Click to expand... Hakika Teknolojia ni Yetu sote โ