Usichokijua kuhusu mabehewa

Andika kama msomi bila upendeleo. Don't be bias. Chambua taarifa kwamba Behewa moja alinunua Tsh.2.2 Billion wakati bei yake sahihi kwenye soko ni Tsh.............. . sisi tunaosoma ndo tutakuelewa. Be educated p'se.
 
Kwa mjibu wa BoT Hadi Magufuli anafariki dunia,aliacha dollar billion 6.7 za kuweza kuendesha nchi miezi 6 pamoja na kununua ndege kwa keshi na kuanzisha miradi mikubwa, Sasahivi kuna dollar billion 4.3 fedha ambayo inakidhi kwa miezi mitatu, Samia zote katumbua kwa safari eti anafungua nchi.
 
Andika kama msomi bila upendeleo. Don't be bias. Chambua taarifa kwamba Behewa moja alinunua Tsh.2.2 Billion wakati bei yake sahihi kwenye soko ni Tsh.............. . sisi tunaosoma ndo tutakuelewa. Be educated p'se.
Mkuu, mbona mtoa mada keshasema hapa..
Kama kweli, bei halisi ni chini ya theluthi moja!
👇👇
...behewa moja la treni ya SGR Tanzania ni karibu mara tatu ya behewa bora zaidi la SGR Kenya. Mzigo wote wa kashfa unaelekea kwake.
 
"Acha uongo mkataba wa mwanzo uliokuwa umesainiwa urisitishwa ,wakasaini upya .ndo Serikali mpya wameleta mabehewa yao haya sasa..."
 
Mabehewa chakavu ni chief hangoya. Alisema mwenyewe tena mwanzoni kabisa walipovunja mkataba wa awali .

Kila UOVU mnamsingizia marehemu asoweza jitetea, hii Si sawa.

By the way alokuwa Makamo wa maggguuuu ndo chui jike mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…