Basi sawa nimeijuaPombe ya mbege ni kinywaji maarufu sana katika jamii wakazi wa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, haswa Wachaga, Wameru na Waarusha.
Ni pombe inayotengenezwa kwa juisi iliyosindikwj na kuchachushwa ya ndizi na unga wa ulezi.
Mbege sio pombe tu bali pia hutumika kufanyia mitambiko ya kimila. Teknolojia ya kutengeneza Mbege iligunduliwa Kibosho na ilienea taratibu maeneo mengine hasa nyakati za vita vya kiukoo vya wa Mangi na wachili.
Mbege ni kati ya vitu vilivyounganisha sana watu, kwani nyakati za kale na hata sasa kidogo, kikombe au kata moja ya mbege ilikuwa inanywewa na watu wengi kwa mstari. Mmoja akipiga gulps (nguchu) kadhaa anampasia mwingine hivyo hivyo hadi wa mwisho na kisha wa mwisho anarudisha tena kule ilitoka hadi iishe.
Mbege ni pombe inayoweza kunywewa popote na yeyote. Iko vizuri sana.
😂😂😂Umenipa hamu sasa
Uliposema wanzuki umenikumbusha mbali sana. Morogoro waligundua pombe moja hivi wakaipa jina la LUKANGE WINE kutoka na eneo husika hujulikana kma lukange, hiyo pombe kabla hujanywa lazima uwe na kamba kwa ajiri ya kufu ga kwenye suruali, kwenye kifundo cha chini cha mguu.Kwa ufupi ni mataputapu kama kindi, komoni na wanzuki.
Naona unazungumzia pombe iitwayo PINGU?Uliposema wanzuki umenikumbusha mbali sana. Morogoro waligundua pombe moja hivi wakaipa jina la LUKANGE WINE kutoka na eneo husika hujulikana kma lukange, hiyo pombe kabla hujanywa lazima uwe na kamba kwa ajiri ya kufu ga kwenye suruali, kwenye kifundo cha chini cha mguu.
Principle za hizo pombe unapokunywa lazima ujinyeee, basi mtaaani ikifika mida jioni utaona watu wameshikilia kamba wanakwenda kunywa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app