`yaani uwezi amini nilikuwa napika nikazima jiko baada ya msg kuingia eti tutaenda club wakati mtu hata hamfahamina nilikuwa sijamaliza kupika nikarudi nikafungulia gas for almost 20 minutes nikawa nimejisaha yaan gas ilisambaa ikabidi nisiwashe jiko na kupika nikaacha maana ningeunguza nyumba
eti mwishoni akanambia hutaki twende club sabab una mambo mengi eti ujiamini....jamani siwez kwenda huko mimi kwanza sijawah na nadhan ni sehem hatari lakini pia nadhani watu wanavaa bila heshima na kuna pombe jamni mimi pombe sinywi yaani nahisi hasira na njaa pia na huzuni