Usicheze cheze na tendo la ndoa

Hiyo ndo habari ya mujini .... asipokueleza shida zake kitandani unategema atafanikiwa? Unaambiwa 'huna pesa ...hakuna penzi' kama ni penzi kampe mkeo mliyefunga naye ndoa

ntakutafta Tubhonge Aiseee
 
Muda na wakati uliotumia kuandika na kupost hii Idea yako......
Bila shaka linathibitisha kuwa na wewe ulikuwa katika katika zero ...!
 
Kwa muktadha huu wanawake wanaofanya tendo hili kibiashara mara kwa mara ni maprofesa maana wana akili hadi ziada?
 
nimeshindwa namna ya kukukoment kwako maana ulivyoongea ni sahihi kabisa


sasa best pasaka ndo hiyo vipi mualiko hakuna
 
ila kuna ulakini hapo katika kuahidi kumpa kitu hasa cha thamani nikiwa katikati ya tendo.
 
Ngoja waje ambao uwezo wa kufikiria hushuka wachangie,mm hubaki kama ulivyo
Kweli kabisaa. Akiniwekea kibano cha ahadi natoa kedekede...LAKINi kwa kuwa akili inakuwa sufuri basi na ahadi zote ni hewaa tupu. Sitekelezi wala kukumbuka hata mojaaaa. Wee vipi akli ni sufuri alafu utakumbukaje uliyosema aisee Bro. Muulize Mchepuko wangu keshachoka kabisa na ahadi zangu.:disapointed::A S-baby:
 
Hiyo ndo habari ya mujini .... asipokueleza shida zake kitandani unategema atafanikiwa? Unaambiwa 'huna pesa ...hakuna penzi' kama ni penzi kampe mkeo mliyefunga naye ndoa
Tartibu na maneno yako hayo😤😤😤
 
Ngoja waje ambao uwezo wa kufikiria hushuka wachangie,mm hubaki kama ulivyo
Pamoja sana!Sijawahi kupoteza akili yangu tena demu akiniomba kitu chochote wakt wa tendo nashuka/namuaondoa na naishia hapohapo alaa!
 
tafiti zingine zinastusha..... hot data zinapatikana enao la tukio, sa sijui uliobserv au kuuliza watu wakiwa wanagegedana
 
Ahaaaaa,kumbe ndio maana "KE" huwa wanasubilia game ifike ndani ya penati ndio anatumia mwanya huo kutoa BILI za mwezi eeeeh?!
 
Bado sijakumbana na hii adha, labda wakati wetu hayakuwepo.
 

Pmoja sana, ninaunga hoja 100%
 
Halafu mkimaliza tukidai ahadi zetu mlizotuahidi hapo kitandani, mnatujibu kwa jeuri "nilisema kwasababu utamu ulikolea tu - sina kitu"

Kwasababu utakuwa umecheza foul kabisa yaani unategemea akili ipo sifuri na yako ipo maximum ndo upewe ahadi inakuwa sio fair game,inabidi muwe mnasuburi baada ya game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…