Usicheke

Usicheke

Ha ha haaaaaaaa

Mkuu Pdidy hapa hamna kujizuia kucheka Japo umesema tusicheke.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa.,
Mkuu Pdidy unatumia simu mpya nini? Au ndo upo maji.,
 
Last edited by a moderator:
Salama kabisa mkuu sosoliso heri ya mwaka mpya na wewe mkuu
Mi sijaambulia kitu hapo kabisa

Na kwako pia Mkuu Mr Rocky..
Mie nilirudia kusoma kama mara tano hivi mpaka nikafikiria labda imeandikwa katika a coded secrete.. Nikasema ngoja nisome comments za wengine labda wao wameelewa lol..
 
Last edited by a moderator:
huyu jamaa tangia nianze kumfatilia sijawahi kuona chochote cha maana alicho andika,zaidi ya kuandika kiswahili cha mtoto wa darasa la tatu anayejifunza kutunga sentensi,jamani tusije kuwa tuanadili na baba ambae anamfundisha mwanae kusoma na kuandika..!!siunajua mambo ya digital... tablets kila corner
 
Na kwako pia Mkuu Mr Rocky..
Mie nilirudia kusoma kama mara tano hivi mpaka nikafikiria labda imeandikwa katika a coded secrete.. Nikasema ngoja nisome comments za wengine labda wao wameelewa lol..

Mkuu sosoliso ni majanga ni shidaa kabisa #
Hapo ameandika huku ametulia sasa sijui akiwa kwenye rush inakuwaje anaweza kuchanganya kabisa
 
Last edited by a moderator:
Nimepita B BAR SINZA NIMEMKUTA JAMAA YANGU ANASUBIRI MADEMU ZAKE SIJAJUWA WOTE WAKE AMA LA

AKANIKARIBISHA MEZA YAKE MUDA AKAULIZA KWA MSG UNAKUNYWA NINI.CASTLE LAGER

HAMAD NALETEWA CHUPA YA SVANAH KUMBE AMETUMA MSG SIJASOMA KAKA INAKUJA NA CHUPA YA SAVANNAH HUKU YEYE ANA CHUPA.MBILI MEZANI ZA SAVANNAH NDANI BIA


LOH

USICHEKE WANGAPI MMEISHI MAISHA HAYA

HAPPY FRIDAY

Kuchanganya madawa huko-) Pombekeni salama na responsibly🙂
 
Mbona anaeleweka sana tu! Nahisi wachangiaji ndo mnamushikeri kidooogo!! Alichosema ni kuwa bia aliyoagiza imefunguliwa hukohuko na kumiminiwa kwenye chupa ya SAVANA ili mademu wakija a onekane anakunywa savana! sasa mimi sijuwi bei ya hizo bia! Yawezekana savana inauzwa ghali zaidi ya bia ya kawaida! Ila kwa maisha hayo ah! wabongo tunahitaji msaada wa maombi!! Yaani full usanii! kuanzia magogoni hadi sinza!!!
 
Back
Top Bottom