Usicheke

Usicheke

Unakuta mwanamke ametoka ndani amependeza kweli,huku mwanaume ajulikani ametoka pango lipi
Hahaaa, eti kauli mbiu ni hapa kazi tuu, no time to waste kwenye mambo ya kijinga(kupendeza pendeza)[emoji3] [emoji3]

Mi huyo mume hatuongozani akii, natangulia zangu
 
Back
Top Bottom