HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,258 Reaction score 103,420 Sep 26, 2012 #121 Inafurahisha kujua nini unatakiwa kufanya kwa ajili ya maisha yako
Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Sep 26, 2012 Thread starter #122 Inasikitisha sana pale mademu wawili wanapopigana kwa ajili yako halafu demu mbaya anaelekea kushinda pambano!
Inasikitisha sana pale mademu wawili wanapopigana kwa ajili yako halafu demu mbaya anaelekea kushinda pambano!
Inno laka JF-Expert Member Joined Mar 24, 2012 Posts 1,616 Reaction score 585 Sep 26, 2012 #123 Unajua inaburudisha pale mshkaj anapofukuzia dem mwaka na nusu alaf mwingne anakuja kumchukua kiuraini 2.
Unajua inaburudisha pale mshkaj anapofukuzia dem mwaka na nusu alaf mwingne anakuja kumchukua kiuraini 2.
EMEDNEY Member Joined Sep 20, 2012 Posts 72 Reaction score 38 Sep 26, 2012 #124 Usibishe inaburudisha sana pale ninapokataa kukupa mkono sababu nimekuona unatoka chooni na ujanawa!!
Usibishe inaburudisha sana pale ninapokataa kukupa mkono sababu nimekuona unatoka chooni na ujanawa!!
K Kihondaich Member Joined May 3, 2012 Posts 30 Reaction score 2 Sep 26, 2012 #125 inakera sana unapokuwa na hasira thn m2 anakuchekea.
ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,361 Reaction score 4,106 Sep 27, 2012 #126 inakera na kuburudisha mpo chuo wote mnajiona ni watu wazima mmoja wenu anaachia ushuzi mkali wa kupalia halafi anajikausha na watu kumdhania aliye dhaifu ndio kachafua hali ya hewa
inakera na kuburudisha mpo chuo wote mnajiona ni watu wazima mmoja wenu anaachia ushuzi mkali wa kupalia halafi anajikausha na watu kumdhania aliye dhaifu ndio kachafua hali ya hewa
THK DJAYZZ JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 2,166 Reaction score 175 Sep 28, 2012 #127 Inafurahisha..... Dah...inafurahisha... Khaa..inafurahisha... Kwa kwel nimesahau nikikumbuka nitarudi. Near by Simike Mbeya
Inafurahisha..... Dah...inafurahisha... Khaa..inafurahisha... Kwa kwel nimesahau nikikumbuka nitarudi. Near by Simike Mbeya