usibabaike na mwili tu!kabla ya kucheki sura!!!!!

pageup

Senior Member
Oct 12, 2012
156
59
2736 2734 897844378.jpg :biggrin1::biggrin1::fish:
 
sura kitu gani??? .. utunda ndo dunia nzima.. kwani we hujawahi kuona watu wana wake zao mamiss ila wanahangaika na hao sura mbaya unao waponda
 
sura ninayoizungumzia mimi ni hiyo ya kwenye picture!!!!
sijalenga kukashifu maumbile aliyotuumba mola!!
hiyo ni photshop na nimeiweka ili kuchangamshana tu,kuwa makini,usikurupuke kama umelewa gongo ya uturuki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom