mwalimumzalendo1
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,098
- 406
Nimeikuta sehemu nikaipenda
Kama kuna kitu chochote kinachozuia wewe usiwe SUCCESSFUL kiondoe kwenye maisha yako..Kuna watu tangu WAMEOLEWA na biashara zao zimekufa,eti mme hataki ufanye biashara ukae home ataprovide..ANA WAZIMU!Kuna leo na kesho..Sawa leo ataprovide,akianguka ghafla akafa??nani ataprovide??Kuna vitu vya kukubali WANAWAKE,Mwanaume aje akupende as ur..Akikukuta wewe ni Hustler akusaidie uwe HUSTLER ZAIDI na sio kukutoa kutoka KUHUSTLE hadi kuwa Golikipa...AFIE MBELE!
Kuna wale ambao Wazazi wao ni vikwazo..Hawataki wafanye biashara..Ukiona mzazi wako HAKUSUPPORT wala usijali..Fanya mambo yako kimyakimya halafu siku 1 MSHANGAZE..Mpeleke kwenye ofisi yako Mpe Tour,mwambie DAD THIS IS ME...Hakuna kitu kizuri kama kuprove wrong watu wasiokuamini...Babangu mzazi ni NON BELIEVER wa BUSINESS...Na mpaka leo sijamwambia kama Ajira nimeacha iam on my own(Kama unamjua usimwambie),coz najua angenikatisha tamaa,ipo siku nitamuita nimuonyeshe what i do abaki mdomo wazi...USIKUBALI kitu chochote ambacho kinaua SUCCESS yako...Awe Boyfriend..Awe Girlfriend..Awe Mme..Awe Mke..Awe Mzazi,Tafuta mbinu za kuendelea kuwa Successful hata kama utalipa gharama kubwa..
Kuna mtu anakwambia,"Babe wangu hataki niuze tena Chupi anasema namdhalilisha",eti mtu anafunga biashara yake kisa NEW BEBI kamwambia ni bness inamdhalilisha..Ukipata mtu ambaye anakutoa kutoka KUTENGENEZA HELA YAKO hadi kuwa Ziro kusubiri AKUHONGE huyo ni SHETANI...Hakutakii mema...Mapenzi yenyewe haya ya kibwege ya siku hizi,unaua biashara mnakaa mwaka mmepigana chini...Umepoteza Baby na Biashara...KATAA UJINGA!
Kama mtu uliyenaye ni AGAINST SUCCESS muone kama Ugonjwa wa Ebola,kaa nae mbali...ACCEPT NOTHING BUT BEING SUCCESSFUL
Kazi biashara yako ni muhimu sana ipende hata kama inaingiza kidogo sio sawa na kuombaomba kwa wanaume tunadhalilika mda mwengine