Ushuru wa pikipiki

Rabson Nzelu

Member
Mar 11, 2017
45
21
Mambo vipi wadau
Naomba kujua kuhusu ushuru wa kuimport pikipiki
Kuna namna yoyote ambayo ninaweza nikaona kwenye mtandao wa TRA? Au unakadiriwa pindi waonapo pikipiki?
 
Ushuru wa pikipiki na boti kwenye Calculator ya TRA hawajaviweka. Nadhani ukiagiza wao watakufanyia makadirio.

Hapo kwenye makadirio usiombe ukutane na raia kaona Kawasaki au KTM bike akajua ni anasa, hiyo kodi utayopewa unaweza ukaacha mali yako.
 
Mambo vipi wadau
Naomba kujua kuhusu ushuru wa kuimport pikipiki
Kuna namna yoyote ambayo ninaweza nikaona kwenye mtandao wa TRA? Au unakadiriwa pindi waonapo pikipiki?

Kama unataka kuagiza pikipiki kubwa kutoka Ulaya wacheki hawa Astraline Logistics wao wanakuagizia, inakuja mpaka Tanzania. Hapo utachagua ulipie kodi na kuisajili wewe au uwaachie wao.
 
Back
Top Bottom