So huwa hawaangalii bei??Customs value ya gari hilo ni USD 10,000.00 ambapo ushuru wake utasimama kwenye 7.8 tshs. Bei ulioyonunulia wao hawaitilii manani wanayo table yao ambapo hukokotoa bei za magari yanayoingizwa nchini.
Hiyo ni kila kitu hadi linatoka nje?
Pakua mzigo wote hapa http://www.tra.go.tz/calculators/RSP%20LIST%20AND%20CALCULATOR%20-%20VERSION%2017.xls
Hivi ndio Formula hii inatumika kupata kodi TRA?