Ushujaa wa lowasa huu apa

Ushujaa wa lowasa huu apa

ANC-KWA ZULU NATAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
325
Reaction score
38
Baada ya vuta ni kuvute za siasa za minyukano ndani ya ccm hatmaye lowasa ameibuka shujaa...njia alizoptia lowasa kufkia kukubalika hii leo.

1.lowasa alikuwa achukue fomu ya kugombea urais 2005 jk akamuomba lowasa astshe kuchukua fomu ya kugombea urais waungane wakpata jk atakuwa rais 5yrs 2005 hadi 2010 amwachie lowasa 2010 hadi 2015 na baada ya apo wafanye mzunguko kila mmoja kukamilisha miaka kumi kikatba kama rusia wanavyofanya putin na medved kufka 2008 jka akaona ikulu tamua akamtengenezea lowasa kashfa ya rchmond wakat jk ndio mwasisi wa rchmond.

2.wazri mkuu wa jk alkuwa awe sita baada ya makubaliano ya jk na lowasa ya kuungana sta akapgwa chini uwazri mkuu ugomvi wa sta na lowasa ukaanzia apo ila kwa wadadisi wa mambo wanasema bifu alilonalo sita dhidi ya kikwete ni kubwa kulko alilo nalo dhidi ya lowasa anaamini jk almsalti kwenye uwazri mkuu na kwenye uspka...
3.lakini mwsho ya yote kiongoz aliyebaki imara ndan ya ccm na mwenye ushawishi na nguvu ya kila aina yaani kijamii,kiuchumi na kisiasa ni lowasa...2015 ccm wakitaka chama chao kife wamtose lowasa waone 98% ya wana ccm wana mkubali lowasa na 80% ya watanzania wasio wanaccm wanamkubali lowasa kama lowasa
 
Baada ya vuta ni kuvute za siasa za minyukano ndani ya ccm hatmaye lowasa ameibuka shujaa...njia alizoptia lowasa kufkia kukubalika hii leo.

1.lowasa alikuwa achukue fomu ya kugombea urais 2005 jk akamuomba lowasa astshe kuchukua fomu ya kugombea urais waungane wakpata jk atakuwa rais 5yrs 2005 hadi 2010 amwachie lowasa 2010 hadi 2015 na baada ya apo wafanye mzunguko kila mmoja kukamilisha miaka kumi kikatba kama rusia wanavyofanya putin na medved kufka 2008 jka akaona ikulu tamua akamtengenezea lowasa kashfa ya rchmond wakat jk ndio mwasisi wa rchmond.

2.wazri mkuu wa jk alkuwa awe sita baada ya makubaliano ya jk na lowasa ya kuungana sta akapgwa chini uwazri mkuu ugomvi wa sta na lowasa ukaanzia apo ila kwa wadadisi wa mambo wanasema bifu alilonalo sita dhidi ya kikwete ni kubwa kulko alilo nalo dhidi ya lowasa anaamini jk almsalti kwenye uwazri mkuu na kwenye uspka...
3.lakini mwsho ya yote kiongoz aliyebaki imara ndan ya ccm na mwenye ushawishi na nguvu ya kila aina yaani kijamii,kiuchumi na kisiasa ni lowasa...
4.Mwakyembe,Nape,mama kilango malechela,sendeka,mengi,membe, lembeli na makamanda fake wenzao wa ufsdi waliogaragazwa na lowasa na kunywea leo hii walkuwa wanatumika kama tisue ama kwa makusudi kwa tamaa yao ya madaraka i.e kupata uwazri na wengne walicheza ngoma wasiyojua chanzo chake.

5.2015 ccm wakitaka chama chao kife wamtose lowasa waone 98% ya wana ccm wana mkubali lowasa na 80% ya watanzania wasio wanaccm wanamkubali lowasa kama lowasa
 
Mi sioni umahiri wowote wa Lowasa as long as ana kashfa ya ufisadi na ameshndwa kusimama na kujitetea, nadhani yeye ni hatari kuliko J.K
 
nazan ungekuwa unafuatilia siasa hususan za vkao vya ccm ungeltambua hili jamaa almuulza JK last year dodoma kwenye kikao cha nec namnukuu lowasa..je ni ktu ganim kikwete kwenye rchmond usichokijua?mm lowasa nilikuambia kampuni ya rchmond haina uwezo tustshe mkataba ukiwa nje ya nchi ukasema umeshauriana na makatbu wakuu nisivunje mkataba...majbu yako wazi apo kuwa lowasa altaka kuvunja mkataba jk akaitetea rchmond/dowans/symbion
 
Hahaaa sio kila ki2 lazima mmeseme though mnaonekana mna coordination nzuri
 
Lowasa huyu! Tusubirini 2015 cio mbalii! Tuone sarakasi zao!
 
Kashfa nzito kama hiyo si ya kujitetea chumbani kwenye vikao vya cc, asimame jukwaani awaeleze Watanzania ukweli, vingnevyo yeye ni zaid ya fisadi
 
Sijaona chochote ulichoelezea kinacho mfanya Mamu awe shujaa.
Dogo umeongezewa kitita SASA UMECHANGANYIKIWA???
 
Hizi habari za hawa ndugu huwa zinanichosha sana
 
Mh oparesheni vua gamba, naona mnamsafisha kwa ajili ya Urais 2015
 
Lowasa hana kesi ya kujibu mahali popote pale mafisadi wote kesi ziko mahakamani. Mi naamini Lowasa ni kiongozi shupavu na asiye yumbishwa. Akigombea urais 2015 nitampigia kura bila kinyongo
 
Lowasa bado ni FISADI namba moja hapa nchini,mtazunguka kote na kumsafisha kwa kila maneno matamu yenye bashasha lakini hasafishiki.
 
Kuna haja ya kuuondoa mfumo mbovu wa utawala ambao ccm ndio kimekuwa kinara wake. Hivyo basi mgombea yeyote yule atakayegombea kwa kupitia ccm inabidi akataliwe kwa nguvu zote.
 
Haa jaman hiv mpaka muone nin kwenye hi serikal cm ndo mtajua mabaya yake hata farao hakuwa na moyo mgumu hivyo kwel mtakuwa na macho ila hamtaona
 
Baada ya vuta ni kuvute za siasa za minyukano ndani ya ccm hatmaye lowasa ameibuka shujaa...njia alizoptia lowasa kufkia kukubalika hii leo.

1.lowasa alikuwa achukue fomu ya kugombea urais 2005 jk akamuomba lowasa astshe kuchukua fomu ya kugombea urais waungane wakpata jk atakuwa rais 5yrs 2005 hadi 2010 amwachie lowasa 2010 hadi 2015 na baada ya apo wafanye mzunguko kila mmoja kukamilisha miaka kumi kikatba kama rusia wanavyofanya putin na medved kufka 2008 jka akaona ikulu tamua akamtengenezea lowasa kashfa ya rchmond wakat jk ndio mwasisi wa rchmond.

2.wazri mkuu wa jk alkuwa awe sita baada ya makubaliano ya jk na lowasa ya kuungana sta akapgwa chini uwazri mkuu ugomvi wa sta na lowasa ukaanzia apo ila kwa wadadisi wa mambo wanasema bifu alilonalo sita dhidi ya kikwete ni kubwa kulko alilo nalo dhidi ya lowasa anaamini jk almsalti kwenye uwazri mkuu na kwenye uspka...
3.lakini mwsho ya yote kiongoz aliyebaki imara ndan ya ccm na mwenye ushawishi na nguvu ya kila aina yaani kijamii,kiuchumi na kisiasa ni lowasa...
4.Mwakyembe,Nape,mama kilango malechela,sendeka,mengi,membe, lembeli na makamanda fake wenzao wa ufsdi waliogaragazwa na lowasa na kunywea leo hii walkuwa wanatumika kama tisue ama kwa makusudi kwa tamaa yao ya madaraka i.e kupata uwazri na wengne walicheza ngoma wasiyojua chanzo chake.

5.2015 ccm wakitaka chama chao kife wamtose lowasa waone 98% ya wana ccm wana mkubali lowasa na 80% ya watanzania wasio wanaccm wanamkubali lowasa kama lowasa

Lowasa akigombea urais kwa mara ya kwanza nitapanga foleni kupiga kura. Hata kama iwe ndefu kuanzia mbezi hadi ubungo.
 
Lowasa hana kesi ya kujibu mahali popote pale mafisadi wote kesi ziko mahakamani. Mi naamini Lowasa ni kiongozi shupavu na asiye yumbishwa. Akigombea urais 2015 nitampigia kura bila kinyongo

bac ndio mwisho wa CCM hapo
 
Back
Top Bottom