Kwenu wanajamvi!
Dunia inamambo mengi na binadamu tunapitia furaha na changamoto kadha wa kadha hapa unaweza kuweka/ kutuambia ni jambo gani ambalo Mungu alikupitisha ili kukupa nguvu ya imani na hata akakuokoa/ kukutenga na mambo mabaya ambapo bila yeye (Mungu) pengine watu wangezungumza mengine kwa sasa juu yako..!
Karibuni wana jamvi tukuzane imani kwa matendo makuu ya Mungu aliyotenda kwetu