Ushuhuda wa kweli wa kilichonipata

duh wanipitie mbali kabisa hasa hawa wanao kuja na gia zao za.'nahitaji mtu wa kuniwowa, mara mtu wa kuanza nae maisha anahitajika vigezo ...'
 
Pole sana, Bora ww ulipata UKOMBOZI baada ya kuteswa sana, kuna yule jamaa wa nyimbo ya Harmonize-"SINA" mpaka leo maisha ni magumu na ni bora ya jana kuliko ya leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…