Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,937
- 1,193
kuichukia ccm kwa maneno haitoshi, waonyesha chuki ya kweli 2014 kwenye chaguzi za serikali za mitaa na 2015 uchaguzi mkuu, Dodoma haina hata jimbo moja la upinzani hata madiwani wa upinzani cjui kama wapo!
Umesha anza kupata akili kidogo, ukizidi kuitumia elimu ya gumbaru uliyoipata utazidi kuuona ukweli, naamini umefikiria vyema na kuandika haya kwa kuwa bado ni asubuhi tumbo halina njaa, kijua kikichomoza tu utaanza kufikiria kwa kutumia tumbo.
Wenzio wa buku 7 FC wakikusoma leo sijui kama utapewa mgao. CHAMVIGHA NE CHEFEFEWA.
Na ndio maana Wana maendeleo makubwa ya kuomba omba Kama alivyokuwa Yule tajiri Yao matonya
Naona na wewe unaishi kwenye tembe haya majibu yamedhihirisha...we si mama toto akili yk ndo imeishia hapo unadhan dom inajengwa na wagogo tu..miji yeyote mikubwa wegeni ndo hufanya kazi na biashara mijin wenyeji wanakuwa pembezon kwashughuli za uzalishaji na ulishaji mji kwa kulima kufuga n.k amka mama wew...
dodoma ccm inashinda kwa kuhonga wapiga kura na kutoa vitisho!huo utafiti wako sample space zote ulizotumia ni za cdm kwa taarifa yk dom hawana ujinga km wa arusha na mbeya watu wanahangaika na kutafuta maisha ccm wangechokwa cdm wangepata hata jimbo moja juz uchaguzi mdogo bado jamaa wamepeta...danganya wajinga wenzako wa humuhumu jf ambao mpo kikazi zaidi kuitangaza cdm wazee wa sera nyepes sasa mnalia na mwigulu chama kizima
Kumbe umeona picha kwani picha zinaongea? Basi wewe siyo mzima kwani picha zinaongea.
Kaka uwezo wako wa kufikiri mdogo sana,Dodoma ni kati ya mikoa ya Tanzania ambayo ni masikini sana tena hata elimu mnaipata kwa shida mno,heti Dodoma ccm imeleta maendeleo,yapi hayo?wewe ndo uende kanisani ukaombewe ili uokoke kifikra umeishiwa sana ndugu.Pole sanaHiyo kazi ulipewa au ulijipa na hukuwa na kazi nyingine ya kufanya?.
uwezo wako wa kuchambua mambo ni wa kutiliwa mashaka nadhani ulikuwa unaota mkuu.
Nadhani umeenda dodoma ukaishia kushangaa maendeleo yaliyoletwa na ccm.
leo ni jumapili nenda kanisani upunguze hizo dhambi,na kaa ukijua dodoma ni ccm chadema wanaidharau kama kandambili tangu mbowe awatukane ndo basi tena.
Naona na wewe unaishi kwenye tembe haya majibu yamedhihirisha
Wewe si mtoto wa binadamu hata kidogo,huyu ushuhuda wake kaona rami za dodoma zikamchanganya akawa anaongea hovyo hata hajielewi.Naona na wewe unaishi kwenye tembe haya majibu yamedhihirisha
Wewe pengine ulitanguliza miguu wakati wa kuzaliwa.Kaka uwezo wako wa kufikiri mdogo sana,Dodoma ni kati ya mikoa ya Tanzania ambayo ni masikini sana tena hata elimu mnaipata kwa shida mno,heti Dodoma ccm imeleta maendeleo,yapi hayo?wewe ndo uende kanisani ukaombewe ili uokoke kifikra umeishiwa sana ndugu.Pole sana
Huna unachojua wewe umeona picha wanazopiga watu pale nyelele groung ndiyo unasema ccm kuchokwa.Mtu duni sana wewe kama Pinda tu! unashindwa kujua neno picha niliyoona ...lina maana gani?
huo utafiti wako sample space zote ulizotumia ni za cdm kwa taarifa yk dom hawana ujinga km wa arusha na mbeya watu wanahangaika na kutafuta maisha ccm wangechokwa cdm wangepata hata jimbo moja juz uchaguzi mdogo bado jamaa wamepeta...danganya wajinga wenzako wa humuhumu jf ambao mpo kikazi zaidi kuitangaza cdm wazee wa sera nyepes sasa mnalia na mwigulu chama kizima
Hata dodoma kwanza huijui vema hiyo elimu unayosema inapatikana kwa shida ni ipi.Kaka uwezo wako wa kufikiri mdogo sana,Dodoma ni kati ya mikoa ya Tanzania ambayo ni masikini sana tena hata elimu mnaipata kwa shida mno,heti Dodoma ccm imeleta maendeleo,yapi hayo?wewe ndo uende kanisani ukaombewe ili uokoke kifikra umeishiwa sana ndugu.Pole sana
Ni bora aliyechanganyikiwa kuliko wewe uliyerogwa na aliyekuroga kafa sijui atakutibu nani.Wewe naye si ni chizi...kama na utu uzima wako mpaka leo unaipigania ccm si niwazi kuwa umechanganyikiwa.
huo utafiti wako sample space zote ulizotumia ni za cdm kwa taarifa yk dom hawana ujinga km wa arusha na mbeya watu wanahangaika na kutafuta maisha ccm wangechokwa cdm wangepata hata jimbo moja juz uchaguzi mdogo bado jamaa wamepeta...danganya wajinga wenzako wa humuhumu jf ambao mpo kikazi zaidi kuitangaza cdm wazee wa sera nyepes sasa mnalia na mwigulu chama kizima
Hahhahahaaaaa ha hi hi!!!! Hivi ni dodoma au arusha ndiko kwenye hospital ya vichaa?hivi arusha na dodoma ni wapi wapumbavu? Hahahaaaa!!huo utafiti wako sample space zote ulizotumia ni za cdm kwa taarifa yk dom hawana ujinga km wa arusha na mbeya watu wanahangaika na kutafuta maisha ccm wangechokwa cdm wangepata hata jimbo moja juz uchaguzi mdogo bado jamaa wamepeta...danganya wajinga wenzako wa humuhumu jf ambao mpo kikazi zaidi kuitangaza cdm wazee wa sera nyepes sasa mnalia na mwigulu chama kizima
Hata dodoma kwanza huijui vema hiyo elimu unayosema inapatikana kwa shida ni ipi.
unadanganya watu wanaoijua dodoma mimi nimesoma makole s/m na dom sec bila hata shida,
Dodoma kila mahala kuna shule za msingi na sec kwa sasa navyuo ndo usiseme,we unaongea elimu gani au elimu ya kumwagia watu tindikali na kufanya mandamano hiyo dodoma kweli haipo na haitakuja.
Unajua matonya kazaliwa lini au unajitekenya na kucheka mwenyewe,kwa tarifa yako matonya mkubwa hata yusuph makamba mdogo leo wewe umekula urojo unaropoka tu hata huna unachojua kazi kazi kutumika tu.Ni kweli Dom ina shule nyingi na products zake zinaonekana mitaani (mf. Marehemu babu Matonya na wajasiriamali wenzake)