Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 12,276
- 36,255
Ndio hicho wanataka uwaoneshe kwa macho wakuamini tofauti na hapo mtajibizana asubuhi hadi asubuhi!Kumloga raisi ni ngumu kwanza utampatia wapi? Pia raisi wa kiafrika haingii madarakani kilofa kuna watu wanamfuata ikulu kumuweka sawa.Zaidi ya yote watu wa dini zote wanakwenda kumuombea mchawi na shetani hawezi msogelea.
Unakumbuka wakati Nyerere anaaga wazee wa Dar kabla hajaamua kung'atuka kuachia ngazi ya uenyekiti wa chama? wakati huo alishaachia uraisi toka mwaka 1985?. alitoboa siri wazee kina Jumbe Tambaza walimfanyia nini mlingotini Bagamoyo? ili mkoloni akimbie mwenyewe?
Hapana kuhusu nyerere sijui kitu mkuu mwenyewe nimeyakuta tu!