Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,498
Du vipi vipele vinasambaa sana?maana hapo ndio balaa lilipoApo ni Dawa za maumivu tu kama panadol na ya kupaka tu na usiku unaweza usilale ko mimi nilikuwa napiga na piriton ya mafua inaleta usingizi Mulua mpaka asubuhi