Ushuhuda: Ugonjwa wa Monkey poxy upo kuweni makini

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,640
Reaction score
3,642
Naandika hii thread nikiwa nimejiweka karantini, ukiona vipele havieleweki sehemu yoyote ya mwili hasa sehemu za siri nenda haraka hospitali.

Vipele vinakuwa kama vina shimo katikati, pembeni ni vyeupe, havitoi maji wala usaha ila vinasambaa kwa speed kali sana na vinakua hararaka sana.

Wagonjwa ni wengi sana ukizubaa unapelekwa karantini.

Dalili zake

Homa za muda mfupi
Kichwa kuuma sana
Ukienda kupima utaambiwa hakuna ugonjwa wowote
Kusikia baridi sana
Vipeleke sehemu za siri

Haumpati kila mtu ila ukikupata uwahi fasta kwa mtaalamu

Picha siweki zinatisha

Kanda ya ziwa vimesambaa sana

Kwenye bababshop zenu taulo moja inafuta vichwa 50 bila kufuliwa, au gest shuka linalaliwa wiki nzima na taulo kila mtu anajifutia.
 
Ni ugonjwa wa kawaida sana huo ata usiogope mimi nimetoka naumwa pamoja na mapisi zangu wote niliokuwa nao yani.. wiki mbili tu unakuwa vizurii
 
Attachments

  • 20250620_155035.jpg
    20250620_155035.jpg
    296.5 KB · Views: 19
Kama una swali uliza hapa nikupe ushuhuda
Mkuu kwanini usiweke picha hapa,anayetishwa nani sasa kama ni ugonjwa si ndio vizuri kuona unafananaje ili tuutambue mapema
Nimesema vipele vinakuwa vina shimo katikati pembeni rangi nyeupe, vinawasha, vinasambaa haraka sana

Picha Google monkey poxy zipo kibao
 
Ni ugonjwa wa kawaida sana huo ata usiogope mimi nimetoka naumwa pamoja na mapisi zangu wote niliokuwa nao yani.. wiki mbili tu unakuwa vizurii
Asante sana na mimi nipo hivyo hivyo, hizo alama sijui zinatokaje
IMG_20250621_070220.jpg
 
Attachments

  • IMG_20250621_070142.jpg
    IMG_20250621_070142.jpg
    232.5 KB · Views: 15
Naandika hii thread nikiwa nimejiweka karantini, ukiona vipele havieleweki sehemu yoyote ya mwili hasa sehemu za siri nenda haraka hospitali.

Vipele vinakuwa kama vina shimo katikati, pembeni ni vyeupe, havitoi maji wala usaha ila vinasambaa kwa speed kali sana na vinakua hararaka sana.

Wagonjwa ni wengi sana ukizubaa unapelekwa karantini.

Dalili zake

Homa za muda mfupi
Kichwa kuuma sana
Ukienda kupima utaambiwa hakuna ugonjwa wowote
Kusikia baridi sana
Vipeleke sehemu za siri

Haumpati kila mtu ila ukikupata uwahi fasta kwa mtaalamu

Picha siweki zinatisha

Kanda ya ziwa vimesambaa sana

Kwenye bababshop zenu taulo moja inafuta vichwa 50 bila kufuliwa, au gest shuka linalaliwa wiki nzima na taulo kila mtu anajifutia.
Ndiyo ule ugonjwa wa Amos Makala!
 
Huu ndio ule ugonjwa CPA Makalla alisema CHADEMA wanataka kununua vimelea vyake ?
 
Back
Top Bottom