Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,019
- 288,356
Zitto na JPM wamegeukana kwa kasi sana!Nimeelewa hivyo,hao madiwani ni casualties of war!Teh teh teh 🤣🤣🤣 Ina maana huo msemo "shetani hana rafiki" umethibitika kwenye hii kadhia ya chama cha ACT na mbunge wao Zitto?
nje ya madaHalafu 9th December 2019 Zitto anasusia huku CDM wakienda kujipendekeza CCM Kirumba kutaka urafiki na shetani aliyetoka "kuvuruga" uchaguzi wa serikali za mtaa.
Wote ni walewale tu tofauti ni rangi ya "matambara" mnayopeperusha!
Mnalalamika hakuna Uhuru halafu mnaenda kusherekea siku ya Uhuru upi?
Kama ni kweli, mpango huu upo na unafanyika ndani ya chama cha CCM, chama hiki na viongozi wake wote watakuwa wapapambanaji wa rushwa?Na tena uamuzi huu kufanyika kupitia ajenda zinazopitishwa ndani ya Sekretariate ya Kamati Kuu ya chama. Kweli! Hivi inaingia akilini kabisa watu wenye dhamana ya kuiendesha nchi yetu kujifungia ktk kuta nne, tena chini ulinzi mkali ili kupitisha uamuzi kama huu!
Hawaendi wapi rudia kidogo hahahaaaaCCM wameamua kula sahani moko na Zitto.
CCM kwa haya mnayofanya hamuendi mbiguni wote!!
Ushajulikana ww ni wa aina gani... Eti nje ya mada...Uzi hadhi imeshuka sasa coz ni unafiki tu.nje ya mada
Sitaki kuchanganya mada , na ndio maana hata kwenye uzi nimesema sitaki kuonekana namshutumu Zitto , bali nimemtaja Zitto humu ili kuweka ushahidi halali wa andiko langu , kwahiyo usiniburuzie unakopenda wewe .Ushajulikana ww ni wa aina gani... Eti nje ya mada...Uzi hadhi imeshuka sasa coz ni unafiki tu.
CCM haijawahi kupambana na Rushwa mahali popoteKama ni kweli, mpango huu upo na unafanyika ndani ya chama cha CCM, chama hiki na viongozi wake wote watakuwa wapapambanaji wa rushwa?
Hili tu ndilo swali mhimu kwangu, na pengine wengi wengine.
Jambo hili pia tunaweza tukalipeleka mbele zaidi ya hapo; kwamba, akitokea mwanachama/kiongozi huko upinzani akawa hanunuliki kwa bei yoyote, na nafasi yake ikaonekana ni tishio kwa chama hiki cha CCM, itakuwa ni ruhusa kumwondosha kwa njia yoyote hata mauti?
Hii ndio tafsiri pekee inayoweza ikafanyika katika hali ya namna hii.
Sawa nimekupata ila keep in mind ulichoambiwaSitaki kuchanganya mada , na ndio maana hata kwenye uzi nimesema sitaki kuonekana namshutumu Zitto , bali nimemtaja Zitto humu ili kuweka ushahidi halali wa andiko langu , kwahiyo usiniburuzie unakopenda wewe .
Ngoja tuone safari hii kama bado atakosa rafikiWakuu mtanisamehe sana kwa kuwarudisha nyuma mwaka 2015 kwenye uzinduzi wa bunge Jipya baada ya Uchaguzi Mkuu ambayo ilikuwa ndio siku ya kwanza kabisa kwa Rais mpya kulihutubia bunge hilo jipya na kulizindua.
Wabunge wote wa Upinzani waliotokana na (UKAWA) walitoka nje kama ishara ya kupinga kuingia ndani ya bunge hilo kwa Dr Shein ambaye aliangushwa kwenye uchaguzi ule na Jabali Maalim Seif na baadaye uchaguzi kufutwa.
Mpinzani pekee aliyebaki ndani ya bunge lile ambalo lilikuwa haramu baada ya kumuingiza Dr Shein kwa cheo cha Rais wa Zanzibar huku akiwa kaangushwa alikuwa Zitto Kabwe. Rais mpya kwenye Hotuba yake akamsifia sana Mh Zitto na kuwaponda wapinzani wote kwa mamia waliomsusia.
Si lengo langu kwa leo kumjadili Zitto Kabwe , maana yaliyopita si ndwele lengo langu ni kuushuhudia msemo wa kweli wa wahenga usemao kwamba " Shetani hana rafiki "
Zitto Kabwe ambaye kwa wakati ule aliunga mkono CCM bungeni leo CCM inaitisha kikao ili pamoja na mambo mengine itenge fedha kwa lengo la kuwanunua madiwani wote wa ACT WAZALENDO popote walipo leo wale aliowaunga mkono wamemgeuka pamoja na kumpoteza Kanguye lakini hawajatosheka , wanamuwinda yeye mwenyewe kama digidigi!
Kwahiyo, kuanzia sasa ni vema maandiko tunayoyaweka humu yasipuuzwe Shetani ama wakala wake hapaswi kuungwa mkono imeandikwa kwenye vitabu vyote vya dini haya yanayoendelea nchini Tanzania ni mipango ya Mwenyezi Mungu kuwathibitisha walimwengu kwamba Neno lake liko hai na linaishi.
Ukweli mtupu !Zitto na JPM wamegeukana kwa kasi sana!Nimeelewa hivyo,hao madiwani ni casualties of war!