X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,700
- 14,766
Tushajua mwanzo mwisho jushautabiri,usiendelee.Episode 2 lini ?
Asante sanaPole sana.
Ata mimi nilikuwa na mtazamo kama wako siku ya kikukuta tutakuja kukushauri"Tuache kutafuta mahusiano mitandaoni". Najaribu kujiuliza, hivi huwezi kukutana na mwathirika bar, barabarani, kanisani, kazini, beach na ukamtongoza na mkafanya yenu? Kwanini mnaisingizia mitandao? Mitandao ni sehemu ya kukutania kama zilivyosehemu nyngine bhana.
Usijari chumvi pia nitawekaChai sema umesahauu sukarii mkuuu
TeyariiiiiEpisode 2 lini ?
Idumu mileleDuh..
JF kiboko sana asiee. Sichoki kuifungua JF kila mara maana sitoki mtupu.
Kabisahii chai.
Mi mwenyewe nimekutana na msichana mzuri mtandaoni na ana tabia njema hadi raha. Social media zinarahisisha connections ila inategemea na akili ya mtumiaji anaiendesha vipi halmashauri ya kichwa chake!"Tuache kutafuta mahusiano mitandaoni". Najaribu kujiuliza, hivi huwezi kukutana na mwathirika bar, barabarani, kanisani, kazini, beach na ukamtongoza na mkafanya yenu? Kwanini mnaisingizia mitandao? Mitandao ni sehemu ya kukutania kama zilivyosehemu nyngine bhana.